Habari za Punde

Jumuiya ya KUKHAWA Yawajengea Ewezo Wananchi Shehia za Ole Mbuzini Ndagoni na Mfikiwa Kisiwani Pemba.

KATIBU wa Jumuiya ya kupunguza umaskini na kuboresha hali za wananchi Kisiwani Pemba (KUKHAWA), Hafidh Abdi Said akitoa malezo kwa wanajamii kutoka shehia mbuzini, Ole, Mfikiwa na Ndagoni za Wilaya ya Chake Chake, kupitia Mradi wa Ushawishi na Utetezi wa kukuza upatikanaji wa Ardhi na Rasilimali nyengine kwa wanawake.

MRATIB wa Mradi wa Ushawishi na Utetezi wa kukuza upatikanaji wa Ardhi na Rasilimali nyengine kwa wanawake, Zulekha Mauldi Kheir akitoa ufafanuzi juu ya mradi huo kwa wanajamii kutoka shehia nne zilizomo ndani ya Wilaya ya Chake Chake, huko katika ukumbi wa Mkataba Chake Chake.
MWANASHERIA Khalfan Amour Mohamed, akiwasilisha mada ya Umuhimu wa kusajili ardhi, kwa wanajamii kutoka shehia nne za Chake Chake kupitia mradi wa  Ushawishi na Utetezi wa kukuza upatikanaji wa Ardhi na Rasilimali nyengine kwa wanawake, unaotekelezwa na Jumuiya ya KUKHAWA Pemba.
AFISA mipango kutoka kituo cha Huduma za Sheri Zanzibar Tawi la Pemba, Siti Habib Mohamed akiwasilisha mada ya njia za kujisajili na changamoto zake, wakati wamafunzo ya wanajamii kupitia mradi wa Ushawishi na Utetezi wa kukuza upatikanaji wa Ardhi na Rasilimali nyengine kwa wanawake, unaotekelezwa na Jumuiya ya KUKHAWA Pemba
BAADHI ya wanajamii kutoka shehia ya Ole, Mbuzini, Mfikiwa na Ndagoni Wilaya ya Chake Chake wakiwa katika kazi za Vikundi, mara baada ya kupatiwa mafunzo kupitia Mradi wa Ushawishi na Utetezi wa kukuza upatikanaji wa Ardhi na Rasilimali nyengine kwa wanawake, unaotekelezwa na Jumuiya ya KUKHAWA Pemba.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.