Habari za Punde

Kutoka Jijini Dodoma Bungeni leo.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanafunzi  wa Shule ya Sekondari ya Peace House ya jijini Arusha kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 12, 2019. (Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Peace House ya jijini Arusha  kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi na washiriki wa Mashindano ya Miss TANZANITE  Dodoma kwenye viwanja vya Bunge
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi na washiriki wa Mashindano ya Miss TANZANITE  Dodoma kwenye viwanja vya Bunge
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (UWEKEZAJI), Angela Kairuki (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa, Anne Kilango, Bungeni jijini Dodoma, Juni 12, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Dodoma Mjini na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi Vijana na Ajira, Anthony Mavunde, Bungeni jijini Dodoma
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Babati Vijijini, Vrajilal Jituson, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia Walimu na Maafisa Elimu kutoka jiji la Mbeya kwenye ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma Juni 12, 2019. Kulia ni mwenyeji wa walimu hao, Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya  Mwalimu Julius  Nyerere, Joseph Butiku kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Juni 12, 2019 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.