Habari za Punde

Uzinduzi wa Mradi wa Ushawishi na Utetezi.

Katibu Tawala Wilaya ya Chake Chake Omar Ali Juma, akikata utepe bahasha kuashiria uzinduzi wa mradi wa Ushawishi na Utetezi wa kukuza upatikanaji wa ardhi na rasilimali nyengine kwa wanawake, unaoendeshwa na Jumuiya ya  KUHAWA Pemba.
Katibu Tawala Wilaya ya Chake Chake Omar Ali Juma, akizungumza na masheha,viongozi wa Dini na watendaji wa jumuiya ya KUHAWA, wakati wa uzinduzi wa mradi wa Ushawishi na Utetezi wa Kukuza upatikanaji wa Ardhi na Rasilimali nyengine kwa wanawake Kisiwani Pemba. 
Katibu Tawala Wilaya ya Chake Chake Omar Ali Juma, akiwaongoza viongozi wa Jumuiya ya KUHAWA, masheha na Viongozi wadini katika picha ya pamoja mara baada ya kuuzinduwa Rasmi Mradi wa Ushawishi na Utetezi wa Kukuza upatikanaji wa Ardhi na Rasilimali nyengine kwa wanawake Kisiwani Pemba.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.