Wakuu wa Wilaya ya Wete Pemba na Wilaya ya Magharibi A Unguja kulia Mkuu wa Wilaya ya Wete Kapteni Khatib Khamis Mwadin na kushoto Mkuu wa Wilaya ya Magharibi A Unguyja Ndg. Abeid Juma Ali, wakipitia hati zao za Kiapo kabla ya kuaza kwa hafla hiyo iliofanyika leo Ikulu Zanzibar.
UPATIKANAJI WA DAWA WAIMARIKA NCHINI
-
OWM-TAMISEMI
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(OWM– TAMISEMI) anayeshughulikia masuala ya Afya, Mhe. Dkt. Jafari ...
6 hours ago
0 Comments