Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Ahutubia Baraza lac Eid El Fitry Jijini Tanga leo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Sheikh Abubakar Zuberi Bin Ally, Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga kushiriki katika Baraza la Eid kwenye ukumbi wa Tanga Beach Reort jijini Tanga
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia Baraza la Eid kwenye ukumbu wa Hotel ya Tanga Beach Resort jijini Tanga,
Baadhi ya  Viongozi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia Baraza la Eid kwenye ukumbi wa Hoteli ya Tanga Beach Resort  jijini Tanga, Juni 5, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.