Habari za Punde

Hafla ya Uzinduzi wa Safari hya Air Tanzania Nchini India.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mha. Isack Kamwelwe akikatab utepe kuashiria uzinduzi wa safari za Dar es salaam-Mumbai za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), hafla hiyo imefanyika katika uwanja wa Chhatrapati Shivaji In Mjini Mumbai


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.