Habari za Punde

Chuo Kikuu Cha Mwalim Nyerere Watowa Elimu Kwa Masheha wa Kisiwani Pemba.

MAKAMO Mwenyekiti wa bodi ya Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Mashavu Ahmada Fakih akizungumza na Masheha wa Mkoa wa Kusini Pemba pamoja na wanafunzi wa Skuli za Mkoa huo kwa lengo la kuwafamisha juu ya uanzishwaji wa kampasi ya Chuo hicho kwa upande wa Pemba huko katika ukumbi wa Skuli ya Maandalizi Madungu Chake Chake Pemba
MKUU wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Profesa Shadrack Mwakalila akizungumza na Masheha qa Mkoa wa Kisini Pemba pamoja wanafunzi wa Skuli za Mkoa huo kwa lengo la kuwafahamisha juu ya uanzishwaji wa kampasi ya Chuo hicho kwa upande wa Pemba huko katika ukumbi wa Skuli ya Maandalizi Madungu Chake Chake Pemba
KATIBU tawala Mkoa wa Kusini Pemba Abdalla Rashid Ali akizungumza na Masheha pamoja na wanafunzi wa Mkoa huo huko katika ukumbi wa Skuli ya Maandalizi Madungu Chake Chake Pemba,
BAADHI ya Masheha wa Mkoa wa Kusini Pemba wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Chuo Cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere katika mkutano wa pamoja na Viongozi hao uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Maandalizi Madungu Chake Chake Pemba.
 ( Picha na Said Abdulrahaman  -  Pemba.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.