Habari za Punde

Mradi wa Ujenzi wa Minara ya Tangi la Maji Saateni na Kilimani Mnara wa Mbao

Ujenzi wa Mnara wa Tangi la Maji eneo la Saateni Wilaya ya Mjini Magharibi Unguja likiendelea na ujenzi wake katika eneo hilo. Tangi hili likimaliza Ujenzi wake litakuwa na uwezo wa kuchukuwa takriban lita za ujazo milioni mbili za maji na kusabaza sehemu mbalimbali za Mitaa ya Mji Mkongwe na ya Ngambu.baada kukamilika ujenzi wake unaotarajiwa kukamilika mwaka huu. 
Tangi la zamani la Maji katika eneo la saateni Unguja Wilaya ya Mjini Magharibi Unguja linaloendelea kusambaza maji katika mitaa mbalimbali ya Wilaya ya Mjini Unguju 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.