Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na viongozi wengine wakimpigia makofi Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akifunga rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius
Nyerere leo Jumapili Agosti 18, 2019
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifunga rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere.
Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Tax akitoa majumuisho kabla ya kufungwa rasmi kwa mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Angola Mhe Joao Manuel Goncalves Lourenco baada ya kufunga rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Namibia Dkt. Hage Geingob na Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa baada ya kufunga rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Namibia Dkt. Hage Geingob na Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa baada ya kufunga rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsidikiza Rais wa Andry Nirina Rajoelina baada ya kufunga rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Comorro Mhe Azali Assoumani na mkewe Mama Assoumani baada ya kufunga rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri Mkuu wa Lesotho Mhe. Tom Thabane baada ya kufunga rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpatia zawadi Rais wa Ushelisheli Mhe. Danny Faure walipomaliza mazungumzo yao baada ya kufunga rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere l
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais wa Ushelisheli Mhe. Danny Faure baada ya kufunga rasmi mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment