Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein Amuapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar Aliyemteua Hivi Karibuni.


Rais wa Zanziubar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar Bi. Khadija Khamis Rajab, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, leo 19-8-2019. 
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar Bi. Khadija Khamis Rajab. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini Hati ya Kiapo ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar,baada ya kumuapisha, hafla hiyo imefanyika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo.
Baadhi ya Viongozi wa Serikali wakishuhudia hafla ya kuapishwa kwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo. 
Jamaa wa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda wakishuhudia hafla ya kuapishwa Ndugu yao, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali.kutoka kushoto waliokaa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biahara na Viwanda Bi. Khadija Khamis Rajan, Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na kulia Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Hassan Hafidh na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Othman Hassan Ngwali.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.