Habari za Punde

Vijana Kupitia Kundi la Wazazi Wafanya Usafi wa Mazingira Hospitali ya Chakechake Kisiwani Pemba leo.

Mwenyekiti wa Wazazi Chake-chake Pemba Seif Kassim akitoa Maelezo kwa  Jumuiya ya Vijana kupitia kundi la Wazazi katika Hospitali ya Chake-chake baada ya kufanya usafi ghafla hiyo iliyofanyika Kisiwani Pemba katika shamrashamra ya Maadhimisho ya siku ya Vijana Kisiwani Pemba.
Afisa Mdhamin Wizara ya Vijana Sanaa na Michezo Pemba Fatma Hamad Rajab akizungumza na Jumuiya ya Vijana kupitia kundi la Wazazi katika Hospitali ya Chake-chake baada ya kufanya usafi ghafla hiyo imefenyika Hospitalini hapo.
Afisa Dhamana Wizara ya Vijana Sanaa na Michezo Pemba Fatma Hamad Rajab akiwa na Vijana wakimsikiliza Dkt. Dhamana kutoka Hospitali ya Chake-chake Ali Omar Khamis wakwanza kulia akitoa baada ya kufanya usafi ikiwa ni shamra shamra ya Maadhimisho ya Siku ya Vijana Kisiwani Pemba ghafula hiyo imefanyika Hospitalini hapo.
Afisa Mdhamin Wizara ya Vijana Sanaa na Michezo Pemba Fatma Hamad Rajab akiwa pamoja na Vijana wakimsikiliza Afisa Uendeshaji Tiba kutoka Pemba Dkt. Yussuf Hamad akitoa Maelezo baada ya kunya Usafi,ghafla hiyo imefanyika Hospitali ya Chake-chake Pemba ikiwa ni shamrashamra ya Maadhimisho ya siku ya Vijana Kisiwani Pemba.
Afisa Mdhamin Wizara ya Vijana Sanaa na Michezo Pemba Fatma Hamad Rajab akijumuika na Jumuiya ya Vijana kupitia kundi la Wazazi katika Usafi ghafla, hiyo imefanyika Hospitali ya Chake-chake Kisiwani Pemba ikiwa ni shamra shamara ya siku ya Vijana (kushoto) ni Mwenyekiti wa Wanawake Mkoa wa Kusini Pemba Bimkubwa Khamis Mohamed.
Jumuiya ya Vijana kupitia kundi la Wazazi wakifanya usafi katika Hospitali ya Chake-chake kisiwani Pemba ikiwa ni shamra shamra ya siku ya Vijana Kisiwani Pemba.
                                         Picha na Miza Othman Maelezo Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.