Habari za Punde

Ziara ya Kamati ya Fedha Biashara na Kilimo ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Kutembelea Miradi Kisiwani Pemba

AFISA  Mdhamini Wizara ya Fedha na Mipango Pemba Ibrahim Saleh Juma, akizungumza wakati wajumbe wa Kamati ya Fedha Biashara na Kilimo ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, kutembelea kiwanja cha Kufurahishia watoto Tibirinzi na kuangalia hali ya Mapato ikoje katika kiwanja hocho
MENEJA wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Pemba Rashid Mohamed Abdulla, akitoa taarifa ya mapato ya kiwanja cha kufurahishia Watoto Tibirinzi Chake Chake, kwa wajumbe wa kamati ya Fedha Biashara na Kilimo ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar
MENEJA wa kituo chakupokelea wa Mafuta Pemba GAPCO kilichopo Wesha Makubi Justic, akitoa maelezo juu ya suala zima la ulipaji wa kodi ya serikali juu ya mafuta yanayoingia Pemba, kwa wajumbe wa kamati ya Fedha Biashara na Kilimo ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar
MENEJA wa Kituo cha kupokelea wa Mafuta Pemba  GAPCO kilichpo Wesha Makubi Justic, akitoa maelezo juu ya marekebisho makubwa ya matangi ya kuhifadhia mafuta yaliyopo wesha, kwa wajumbe wa kamati ya Fedha Biashara na Kilimo ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar ilipotembelea Kituo Hicho.

MENEJA wa kituo cha kupokelea Mafuta Pemba GAPCO kilichpo Wesha Mkubi Justic, akitoa shukurani kwa wajumbe wa kamati ya Fedha Biashara na Kilimo ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar kwa Kutembelea kituo chake na kuona hali hali ya ulipaji wa Kodi za Serikali.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.