Habari za Punde

Galos Nyimbo Ateuliwa Katibu wa Idara ya Organizesheni CCM Zanzibar.

Katibu wa Idara ya Organazesheni Zanzibar Ndg. Cassian Galos Nyimbo. 

Nafasi hiyo ilikuwa wazi baada ya kufariki hivi karibuni aliyekuwa Katibu wa Idara hiyo Marehemu Bakari Hamad Khamis.
Kikao kilikuwa cha kawaida kwa mujibu wa Katiba ya Chama Cha Mapinduzi ya mwaka 1977 Toleo la 2017,Ibara ya 108 (2).
Uteuzi huo umefanyika chini ya Makamu  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,aliyeongoza Kikao hicho.
Uteuzi huo umefanyika chini ya Mwenyekiti wa kikao hicho  Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.

Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Afisi Kuu ya CCM,Kisiwandui Zanzibar kuanzia  Majira ya Saa 9:00 Mchana.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.