Mchezaji wa Timu ya Chipukizi akimpitabeki wa Timu ya Mlandege, wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika katika katika Uwanja wa Mao. Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa bao.4-1.
TASAC YATOA MAFUNZO KWA WAMILIKI WA VYOMBO VYA USAFIRI MAJINI
-
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) jana tarehe 16 Septemba, 2025
lilifanya mafunzo ya usalama na utunzaji wa mazingira majini kwa wadau wa
usaf...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment