Habari za Punde

Mkuu wa Wilaya ya Wete Azungumza na Wazee Skuli ya Sekondari Kizimbani Wete Pemba.

 
MKUU wa Wilaya ya Wete Kaptein Khatib Khamis Mwadini akizungumza na wazee wa watoto wa Skuli ya Sekondari Kizimbani  Wete


BAADHI ya wazazi na walezi wa watoto wanaosoma katika Skuli ya Msingi ya Sekondari ya kizimbani wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Wete Kapteni Khatib Khamis Mwadini ili kujadili nyendo za watoto wao
 ( PICHA NA
SAID ABDULRAHMAN PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.