Habari za Punde

Taasisi ya Viwanga Zanzibar (ZBS) Yakabidhi Msaada Ujenzi wa Kituo Cha Afya Ungi Msuka Pemba.

AFISA mdhamini wizara ya Biashara na Viwanda Pemba, Ali Suleiman  Abeid (wanne kutoka kulia)  akimkabidhi Katibu wa Jumuiya ya maendeleo jimbo la Konde Ismail Ali Juma,  Shilingi million 4,000,000/= zilizotolewa na Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) kwa lengo la kusaidia Kukamilisha mahitaji ya kituo cha Afya Cha Ungi Msuka Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazn Pemba.
(Picha na Hanifa Salim - Pemba)   

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.