Habari za Punde

Wachezaji wa Zamani wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Wafungua Mchezo wa Ngao ya Hisani Zanzibarv Uwanja wa Amaan Zanzibar Kati ya KMKM na Malindi.

Wachezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Zanzibar wakiingia Uwanjani wakiwa wameshikilia Ngao ya Hisani ya Ufunguzi wa Ligi Kuu ya Zanzibar . mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar uliozikutanisha Timu za KMKM Mabingwa wa Zanzibar mwaka 2018 /2019 na Timu ya Malindi. kushoto Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Zanzibar na Timu ya Malindi Zanzibar Mzee Salum Nassor Mkweche na kulia mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa na Timu ya Jeshi na Ujamaa Mzee Mohammed Ahmed Mwanga.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.