Habari za Punde

Timu ya Theo Kombaini Mabingwa wa Ndondo Cup Muungano Kwa Kuifunga Timu ya UV Temeka Katika Mchezo wa Fainali ya Mabinga wa Ndondo Coconut Zanzibar na Ndondo Cloud Dar es Salaam Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amani Zanzibar Timu ya Theo Kombaini Imeshinda Bao 3 -1.

Mshambuliaji wa Timu ya Theo Kombani ya Zanzibar akijaribu kuwapita mabeki wa Timu ya UV Temeke katika mchezo wa Fainali ya Mapindwa wa Ndondo Bara na Zanzibar, mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.Timu ya Theo imeshinda mchezo huo kwa bao 3-1. na kutangazwa mabingwa wa Muungano Ndondo Cup, 2019/2020.
Mshambuliaji wa Timu ya Theo akijarib u kumpita beki wa Timu ya UV Temeka wakati wa mchezo wa fainali ya Muungano Ndondo Cup mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Theo imeshinda Bao 3-1.Mashabiki wa Timu ya UV Temeke wakiwa hawaamini macho yao baada Tiumu yao kukubali kipigo cha bao 3-1, dhidi ya Timu ya Theo Kombaini ya Zanzibar wakati wa mchezo wa Fainali ya Kombe la Ndondo Muungano mchezo ulifanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.  

Mashabiki wa Timu ya Theo Kombaini wakiishangilia Timu yao baada ya kushinda bao 3-1 dhidi ya Timu ya UV Temeke kutoka Dar es Salaam, mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.