Habari za Punde

Wananchi Wapata Elimu ya Maktaba Kisiwani Pemba.

AFISA  Mdhamini Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Pemba.Ndg.Mohamed Nassor Salim, akifungua maadhimisho ya siku ya kujua kusoma na kuandika duniani, ambapo shila la huduma za Maktaba Pemba limeadhimisha kwa katika ukumbi wa shirika hilo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maktaba Zanzibar Schana Haji Fumu, akizungumza na wananchi, walimu na wafanyakazi wa Shirika la Huduma za Mkataba Pemba, katika maadhimisho ya siku ya kujua kusoma na kuandika Duniani, ambayo huadhimishwa kila ilifako Septemba 8
BAADHI ya walimua  na watendaji wa shirika la huduma za Maktaba Pemba, wakifuatilia kwa makini maadhimisho ya siku ya kujuwa kusoma na kuandika Duniani, ambapo kila Septemba 8 huadhimishwa duniani kote,
BAADHI ya wafanyakazi wa shirika la huduma za  za Maktaba Pemba, wakifuatilia kwa makini maadhimisho ya siku ya kujuwa kusoma na kuandika Duniani, ambapo kila Septemba 8 huadhimishwa duniani kote.
AFISA Mdhamini Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Pemba, Mohamed Nassor Salim akiangalia moja ya vitabu vya vinavyopatikana katika shirika la huduma za Maktaba Chake Chake Pemba, wakati wa maadhimisho ya  za Msiku ya kujuwa kusoma na kuandika Duniani, ambapo kila Septemba 8 huadhimishwa duniani kote.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.