Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Kisasa Mradi wa Kwahani Mpya umeaza kwa awamu ya kwanza kusafisha eneo hilo kwa kuaza kwa ujenzi huo wa Nyumba za Kisasa zinazojengwa katika eneo hilo.
WATUMISHI REA WAPONGEZWA
-
Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wamepongezwa kwa kujituma na
kufanya kazi kwa bidii hali iliyopelekea mafanikio makubwa ya Wakala huo
ikiwa...
51 minutes ago



No comments:
Post a Comment