Habari za Punde

Michuano ya Mpira wa Kikapu Zanzibar Kombe la Karume Cup.Kati ya Polisi na Africa Megic.Uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Timu ya Africa Megic Imeshinda Mchezo Huo.

Mchezaji wa Timu ya Polisi akijaribu kumpita mchezaji wa Timu ya Africa Megic wakati wa mchezo huo wa Kombe la Karume Cup mchezo uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Timu ya Africa Megic ikiongoza kwa Vikapu 38 -28. katika Kota ya Tatu ya mchezo huo. 
Mchezaji w Timu ya Polisi akiwa na mpira wakati wa mchezo wa Kombe la Karume Cup uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong. 














No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.