Ndege ya Shirika la Ndege la Qatar Air Aina ya Dreamliner 787-800 ikiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar ikiwa na Abiria 250, wakitokea Nchini Qatar,hufanya safari zake kila Siku Kati ya Qatar hadi Zanzibar.Dreamliner ni safari yake ya kwanza kuja Zanzibar. Kama inavyoonekana ikiwa katika harakati za kushusha mizigo baada ya kuteremka abiria wake na ina uwezo kuchukua Kontena.
PPAA yatoa elimu matumizi ya Moduli Wiki ya Utumishi wa Umma
-
Na Mwandishi wetu, Dodoma
Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imeshiriki maadhimisho ya
kitaifa ya Wiki ya Utumishi wa Umma, yanayojumuisha Wi...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment