Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waumini wengine wa Kanisa
Katoliki wakishiriki Misa Takatifu Dominika ya 30 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika
kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada
iliyoongozwa na Paroko Msaidizi Padre Paul Haule, Oktoba 27,2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
Mkate wa Ekaristi alipoungana na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki kushiriki
Misa Takatifu Dominika ya 30 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu
Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko
Msaidizi Padre Paul Haule

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na baadhi ya Waumini wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mtakatifu
Joseph baada ya Misa Takatifu Dominika ya 30 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika
kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam na
kuongozwa na Paroko Msaidizi Padre Paul Haule
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Paroko Msaidizi Padre
Paul Haule, Paroko Msaidizi Padre Dkt. Alista Makubi pamoja na Mzee wa Kanisa
Dkt. Adelhelm Meru baada ya Misa Takatifu Dominika ya 30 ya Mwaka “C”
iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar
es Salaam na kuongozwa na Paroko Msaidizi Padre Paul Haule, Oktoba 27,2019.
No comments:
Post a Comment