Habari za Punde

RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA AALCO NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CHINA - IKULU JIJINI DSM OKTOBA 23, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza naViongozi wa Taasisi ya Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) ambao wanahudhuria mkutano wa 58 unaofanyika hapa nchini kwa siku 5 ukiwakutanisha wajumbe kutoka nchi wanachama 49 na mashirika mbali mbali walipomtembelea ikulu jijini Dar es Salaam. Oktoba 23, 2019.

RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John PombeMagufuliakiwakatikapichayapamojanaRaiswa AALCO aliyechaguliwakatikamkutanohuuMhe. BaloziDkt. Augustine Mahiga (WaziriwaSherianaKatiba, Tanzania), MakamuwaRaiswa AALCO aliyechaguliwakatikamkutanohuu Prof. MohamadShalaldeh (WaziriwaSheriawaPalestina), KatibuMkuuwa AALCO Prof. Kennedy Gastorn (Tanzania) naNaibuMakatibuWakuuwa AALCO watatuambaoniBw. Yukihiro Takeya (Japan), Bi. Wang Liyu (China) na Dr. Ali Garshasbi (Iran)pamojanaAmonMpanjuNaibukatibumkuuWizarayaKatibanaSheria(Tanzania), ambaowanahudhuriamkutanowa 58 unaofanyikahapanchinikwasiku 5 ukiwakutanishawajumbekutokanchiwanachama 49 namashirikambalimbaliwalipomtembeleaikulujijini Dar es Salaam. Oktoba 23, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Ndg. Guo Yezhou aliyeambatana na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Bashiru Ally Kakurwa na Balozi wa China hapa nchini Mhe. Wang pamoja na Kanali Ngamela Lubinga Katibu wa NEC siasa na Uhusiano wa Kimatifa wa Ccm ikulu jijini Dar es Salaam. Oktoba 23, 2019


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa.Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Ndg. Guo Yezhou aliyeambatana na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Bashiru Ally Kakurwa na Balozi wa China hapa nchini Mhe. Wang na Kanali Ngamela Lubinga Katibu wa NEC siasa na Uhusiano wa Kimatifa wa CCM mara baada ya mazungumzo yao ikulu jijini Dar es Salaam. Oktoba 23, 2019
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.