Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Amwakilisha Rais Dkt.Magufuli Mkutano wa Uchumi Kati ya Urusi na Afrika Unaofanyika Nchini Urusi.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnagangwa na   Rais wa Uganda,  Yoweri Museveni  (kulia) wakimsikilza  Rais wa Urusi, Vladimir Putin  wakati alipohutubia katika  Mkutano  wa uchumi  kati ya  Afrika na Urusi  (Russia -Africa  Economic Forum) kwenye Kituo cha Olympic Park, Sochi nchini Urusi, Oktoba 23, 2019
Rais wa Urusi, Vladimir Putin akihutubia katika  Mkutano  wa uchumi  kati ya  Afrika na Urusi (Russia -Africa Economic Forum) kwenye Kituo cha Olympic Park, Sochi nchini Urusi,


Baadhi ya washiriki wa Mkutano  wa uchumi  kati ya  Afrika na Urusi (Russia -Africa  Economic Forum)  wakimsikiliza Rais wa Urusi, Vladmir Putin wakati alipohutubia mkutano huo kwenye Kituo cha Olympic Park, Sochi chini Urusi, Oktoba 23, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.