Habari za Punde

Balozi Seif Afungua Mjadala wa Kimataifa wa Uzazi wa Mpangilio Mtazamo wa Kiislamu


Mkaazi wa Shirika hilo Nchini Tanzania Bibi Jacquiline Mahon akitoa salamu za Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu {UNFPA} kwenye Mjadala wa  Kitaifa kuhusu Uzazi wa Mpangilio katika Mtazamo wa Kiislamu.
Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mh. Harusi Said Suleiman akitoa salamu za Wizara ya Afya katika Mjadala wa  Kitaifa kuhusu Uzazi wa Mpangilio katika Mtazamo wa Kiislamu hapo katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Raius wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati akizindua Mjadala wa  Kitaifa kuhusu Uzazi wa Mpangilio katika Mtazamo wa Kiislamu hapo katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar kwa niaba ya Rais wa Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein.
 Baadhi ya Washiriki wa Mjadala wa Kitaifa kuhusu Uzazi wa Mpangilio katika Mtazamo wa Kiislamu hapo katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi wa Serikali walioshiriki kwenye Mjadala wa  Kitaifa kuhusu Uzazi wa Mpangilio katika Mtazamo wa Kiislamu hapo katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Watendaji wa Taasisi na Mashirika ya Kimataifa waliobahatika kushuhudia Mjadala wa  Kitaifa kuhusu Uzazi wa Mpangilio katika Mtazamo wa Kiislamu.
Balozi Seif  akimpongeza Mmoja wa Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Al – Ahzar cha Nchini Misri kutokana na uamuzi wao wa kusaidia kufanyika kwa Mjadala huo wa Uzazi wa Mpangilio katika Mtazamo wa Kiislamu.Kati kati yao anayeshuhudia ni Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mheshimiwa Harusi Said Suleiman.
Picha na – OMPR – ZNZ.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.