Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Philip Mpango
akizungumza na Washiriki wa Mkutano wa Siku ya Takwimu Afrika uliofanyika
katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es
Salaam, Waziri amatoa maagizo kwa Ofisi ya Takwimu (NBS), na Mamlaka ya
Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kufanya
kazi kwa kushirikiana.
Mtakwimu
Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa akizungumza katika na Washiriki wa Mkutano
wa Siku ya Takwimu Afrika uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa
cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, ambapo kauli mbiu ilikuwa ni ‘Kila mmoja wetu ana umuhimu kwa takwimu
bora, kwa usimamizi bora wa watu wanaolazimika kuyakimbia makazi yao barani
Afrika’
Wanafunzi kutoka Shule mbalimbali za Jijini la Dar es
Salaam wakifuatilia Mkutano wa Siku ya Takwimu Afrika uliofanyika katika Kituo
cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam
Wanafunzi kutoka Shule mbalimbali za Jijini la Dar es
Salaam wakifuatilia Mkutano wa Siku ya Takwimu Afrika uliofanyika katika Kituo
cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti
wa Bodi ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dkt. Amina Msangi Akizungumza katika
Mkutano wa Siku ya Takwimu Afrika uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, ambapo kauli mbiu ilikuwa ni
‘Kila mmoja wetu ana umuhimu kwa takwimu
bora, kwa usimamizi bora wa watu wanaolazimika kuyakimbia makazi yao barani
Afrika’
Watakwimu kutoka Sehemu mbalimbali nchini wakifuatilia
Mkutano wa Siku ya Takwimu Afrika uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 28, 2019, kauli
mbiu ilikuwa ni ya Mkutano huo ni ‘Kila
mmoja wetu ana umuhimu kwa takwimu bora, kwa usimamizi bora wa watu
wanaolazimika kuyakimbia makazi yao barani Afrika’.
Waziri wa Fedha Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Philip
Mpango na watendaji wengine wa Serikali wakiwa katika picha ya pamoja na
Wanafunzi kutoka Tambaza Sekondari waliohudhuria katika Siku ya Takwimu Afrika
iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini
Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment