Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Polisi na KMKM Uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Timu ya KMKM Imeshinda bao 2-0.

Mshambuliaji wa Timu ya Polisi akijaribu kumpita beki wa Timu ya KMKM wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Timu ya KMKM imeshinda mchezo huo kwa bao 2-0.









No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.