Habari za Punde

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi, wakati aliwasili kwenye Msikiti wa Haq Kionga, uliyopo Magomeni, jijini Dar es Salaam, ambao ameufungua rasmi,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega, wakati aliwasili kwenye Msikiti wa Haq Kionga, uliyopo Magomeni, jijini Dar es Salaam, ambao ameufungua rasmi,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwakilishi wa Mufti wa Tanzania na Mjumbe wa Baraza la Ulamaa na Sheikh Hamid Jongo, kwenye ufunguzi wa Msikiti wa Haq Kionga, uliyopo Magomeni, jijini Dar es Salaam, kabla ya kuufungua rasmi
Sheik Jongo, akizungumza na Waumini wa Kiislamu, kwenye ufunguzi wa Msikiti wa Haq Kionga, uliyopo Magomeni, jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia Waumini wa Kiislamu, kwenye ufunguzi wa Msikiti wa Haq Kionga, uliyopo Magomeni, jijini Dar es Salaam,
Waumini wa Kiislamu, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakati  akiwahutubia kwenye ufunguzi wa Msikiti wa Haq Kionga, uliyopo Magomeni, jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikata utepe kufungua rasmi, Msikiti wa Haq Kionga, uliyopo Magomeni, jijini Dar es Salaam,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiweka jiwe la msingi, wakati akifungua rasmi, Msikiti wa Haq Kionga, uliyopo Magomeni, jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiingia msikitini, baada ya kufungua rasmi, Msikiti wa Haq Kionga, uliyopo Magomeni, jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisikiliza mawaidha kwenye swala ya Ijumaa, baada ya kufungua rasmi, Msikiti wa Haq Kionga, uliyopo Magomeni, jijini Dar es Salaam, Novemba 29, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.