Habari za Punde

Mawaziri wa Fedha na Mipango wa SMZ na SMT Wajadili Masuala ya Kifedha ya Muungano.

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (wa pili kushoto) akipeana mkono na Waziri wa Fedha  wa Tanzania  Zanzibar,  Balozi  Mohamed Ramia (katikati) , baada ya kikao cha pamoja cha kujadili masuala mbalimbali ya kifedha yanayohusu Muungano, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dar es Salaam, wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango , Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) pamoja na wajumbe kutoka Tanzania Bara na Visiwani.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (wa pili kushoto), Waziri wa Fedha  na Mipango  Tanzania  Zanzibar, Balozi  Mohamed Ramia (katikati) , Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (wa pili kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe kutoka Tanzania Bara na Visiwani, baada ya kikao cha pamoja cha kujadili masuala mbalimbali ya kifedha yanayohusu Muungano, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dar es Salaam.
(Picha na Scola Malinga, WFM, Dar es Salaam)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.