Habari za Punde

Mradi wa Ujenzi wa Matangi ya Maji Kati Eneo la Kilimani Mnara wa Mbao na Saaten Ukiwa Ukingoni Kukamilika Ujenzi Huo

Tangi la Maji Safi na Salama  linaloendelea na ujenzi wake katika eneo la Saateni likiwa katika hatua za mwisho za kukamilisha ujenzi huo na kuondoa tatizo la maji katika Jiji la Zanzibar na maeneo mengine katika Zanzibar. 
Muonekano wa Tangi Jipya la Maji na lile la zamani katika eneo la Saateni kama yanavyoonekana pichani katika eneo hilo.
Tangi Jipya la kuhifadhia maji safi na salama katika eneo la Kilimani Mnara wa Mbao likiwa katika hatua za mwisho za kukamilika ujenzi huo na kutowa huduma za maji kwa Wananchi wa Mitaa mbalimbali ya Jiji la Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.