Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Bw. Gervace Stephano Makoye katibu wa Ccm wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita alipomtembelea ili kumjulia hali nyumbani kwake Chato. Disemba 22, 2019. Bw. Makoye aliyewahi kuwa katibu wa Mhe. Magufuli kwa miaka 10 wakati akiwa Mbunge wa Chato anaendelea na matibabu nyumbani kwake katika Mtaa wa Kalema Chato Mjini Mkoani Geita.
Elimu : Awamu ya Sita Yaipiga Jeki Elimu, Walimu Wapongezwa Arusha
-
Na Pamela Mollel, Arusha
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya
maboresho makubwa katika sekta ya elimu mkoani Aru...
17 minutes ago
No comments:
Post a Comment