Habari za Punde

Msimu wa Zao la Karafuu Kamati ya Baraza la Wawakilishi ya Fedha Biashara na Kilimo Yatembelea Ghala la Karafuu Bandari ya Wete Pemba.

Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Biashara Zanzibar (ZSTC) Kituo cha Wete Pemba wakikagua karafuu kavu zilizofikishwa na wakulima kwa ajili ya kuziuzwa katika kituo hicho.
Afisa Mdhamini wa Shirika la Taifa la Biashara Zanzibar (ZSTC) Pemba,.nDG. Abdallah Ali Ussi akitowa maelezo kwa Wajumbe wa Kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakati wa ziara yao kutembelea ZSTC Pemba katika ghala la kuhifadhi karafuu Bandari ya Wete Pemba..
MWENYEKITI wa Kmati ya Fedha Biashara na Kilimo ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Dkt.Mwinyihaji Makame mwadini akiangalia karafuu kavu baada ya kufika katika kituo cha ununuzi Bandarini Wete, wakati kamati hiyo ilipotembelea kituo hicho cha ununuzi wa KarafuuNo comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.