Habari za Punde

Ufunguzi wa Daraja la Dk. Ali Mohamed Shein Kibonde Mzungu Wilaya ya Magharibi "B" Unguja

Muonekano wa Daraja la Dk. Ali Mohamed Shein Kibonde Mzungu barabara ya Fuoni lililozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.,Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi alipowasili katika eneo la Kibonde Mzungu kwa ajili ya hafla ya Ufunguzi wa Daraja la Dk. Ali Mohamed Shein Kibonde Mzungu Wilaya ya Magharibi "B" Unguja ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la  Ufunguzi wa Daraja la Dk. Ali Mohamed Shein Kibonde Mzungu Wilaya ya Magharibi "B" Unguja (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar.Mhe Dkt. Sira Ubwa na (kulia kwa Rais Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar.Ndg. Mustafa Aboud Jumbe. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria Ufunguzi wa Daraja la Dk. Ali Mohamed Shein Kibonde Mzungu Wilaya ya Magharibi "B" Unguja (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar.Mhe Dkt. Sira Ubwa na (kulia kwa Rais Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi,Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar.Ndg. Mustafa Aboud Jumbe.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.