Habari za Punde

Ufunguzi wa Mkutano wa Taasisi ya Kufanya Utafiti wa Uchumi na Sera (REPOA)Baadhi ya Wadau wa maswala ya Biashara waliohudhuria katika Mkutano wa Taasisi ya Kufanya Utafiti wa Uchumi na Sera (REPOA)kuhusiana na Mpango wa  kuhimili Ushindani wa Kibiashara hafla ilofanyika Hoteli Verde Maruhubi Zanzibar.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya kufanya Utafiti wa Uchumi na Sera (REPOA) Dkt,Donald Mmari akitoa hotuba ya makaribisho katika Mkutano  wa Taasisi ya Kufanya Utafiti wa Uchumi na Sera (REPOA)kuhusiana na Mpango wa  kuhimili Ushindani wa Kibiashara hafla ilofanyika Hoteli Verde Maruhubi Zanzibar.
 Waziri wa Biashara na Viwanda Balozi Amina Salum Ali akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mkutano  wa Taasisi ya Kufanya Utafiti wa Uchumi na Sera (REPOA)kuhusiana na Mpango wa  kuhimili Ushindani wa Kibiashara hafla ilofanyika Hoteli Verde Maruhubi Zanzibar.
 Waziri wa Biashara na Viwanda Balozi Amina Salum Ali akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mkutano  wa Taasisi ya Kufanya Utafiti wa Uchumi na Sera (REPOA)kuhusiana na Mpango wa  kuhimili Ushindani wa Kibiashara hafla ilofanyika Hoteli Verde Maruhubi Zanzibar.
 Waziri wa Biashara na Viwanda Balozi Amina Salum Ali(Katikati)akiwa katika picha ya pamoja na Wadau na Viongozi  Katika Mkutano  wa Taasisi ya Kufanya Utafiti wa Uchumi na Sera (REPOA)kuhusiana na Mpango wa  kuhimili Ushindani wa Kibiashara hafla ilofanyika Hoteli Verde Maruhubi Zanzibar.
 Waziri wa Biashara na Viwanda Balozi Amina Salum Ali akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya ufunguzi wa  Mkutano  wa Taasisi ya Kufanya Utafiti wa Uchumi na Sera (REPOA)kuhusiana na Mpango wa  kuhimili Ushindani wa Kibiashara hafla ilofanyika Hoteli Verde Maruhubi Zanzibar.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya kufanya Utafiti wa Uchumi na Sera (REPOA) Dkt,Donald Mmari akizungumza na Waandishi wa Habari katika Mkutano  wa Taasisi ya Kufanya Utafiti wa Uchumi na Sera (REPOA)kuhusiana na Mpango wa  kuhimili Ushindani wa Kibiashara hafla ilofanyika Hoteli Verde Maruhubi Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/-MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.