Habari za Punde

Uwekaji Jiwe la Msingi Ujengaji wa Skuli ya Sekondari ya Wingwi Mkoa wa Kaskazini Unguja Ikiwa ni Shamrashamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Ali Mohamed Shein akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Wingwi Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwa ni shamshamra za  kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya mradi huo wingwi Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mshauri Elekezi wa Mradi wa Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Wingwi kutoka kampuni ya Agress Africa Ltd Ndg.Peter Lazaro Pemba, wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi huo  ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, (kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma na Waziri wa Afya Mhe. Hamad Rashid Mohammed na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Eng. Dkt. Idrisa Muslim
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mshauri Elekezi wa Mradi wa Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Wingwi kutoka kampuni ya Agress Africa Ltd Ndg.Peter Lazaro Pemba, wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi huo  ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, (kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma na Waziri wa Afya Mhe. Hamad Rashid Mohammed na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Eng. Dkt. Idrisa MuslimRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Skuli ya Sekondari Wingwi Mkoa wa Kaskazini  Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimpongeza Mtoto Fatma Hamad Juma,Mwanafunzi wa Skuli ya Msingi Konde aliyeshiriki katika kuimba wimbo Maalum na kutowa Salamu za Watoto wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Skuli ya Sekondari Wingwi Mkoa wa Kaskazini  Pemba
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar. Zanzuibar Mhe. Riziki Pembe Juma akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Wingwi Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Wingwi Mkoa wa Kaskazini Pemba, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, (kulia kwa Rais ) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Mohammed Aboud Mohammed na (kushoto kwa Rais ) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma
WANANCHI wa Kijiji cha Wingwi wakifuatilia hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Skuli ya Sekondari ya Wingwi Mkoa wa Kaskazini Pemba, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Skuli hiyo
WANANCHI wa Kijiji cha Wingwi wakifuatilia hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Skuli ya Sekondari ya Wingwi Mkoa wa Kaskazini Pemba, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Skuli hiyo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.