Wafanyabiashara ya Samaki katika Marikiti Kuu Darajani Jijini Zanzibar wakiwa katika harakati za kumpasua Samaki aina ya Papa aliyevuliwa katika bahari ya Mkoa wa Kusini Unguja akiwa na uzito karibu kilo 150.
DKT. TULIA ACKSON AACHIA MBIO ZA USPIKA WA BUNGE LA TANZANIA
-
Mhe.Tulia Ackson ametangaza kujiondoa rasmi katika kugombea nafasi ya
Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha
Mapinduzi (CCM...
23 minutes ago




No comments:
Post a Comment