Habari za Punde

Muonekano wa Daraja la Dk.Shein Kibonde Mzungu Zanzibar

Daraja la Dk. Shein kibondemzungu likitowa huduma na mkombozi kwa Wananchi wanaotumia barabara hiyo  baada ya kukamilika kwa ujenzi huo na kuweza kupitika kwa nyakati zote za kipindi cha mvua, kama linavyoonekana pichani No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.