Habari za Punde

Meli ya Kitalii Ikiwa na Watalii 2000 Kutoka Sehemu Mbalimbali Iliyoazia Safari Yake Nchini Canada

Meli ya Kitalii ya Princess Cruises ikiwa na Watalii  2000 kutoka  Nchi mbalimbali Duniani ilitia nanga katika Bandari ya Zanzibar, kwa ajili ya Wageni hao kutembelea sehemu za Historia ya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.