Habari za Punde

Meli ya Kitalii ya Le Bougainville Ikiwa na Watalii 1840 Watembelea Sehemu za Historia Pemba

 
Boti ndogo ya Meli ya Kitalii ya Le Bougainville ikiwa na wageni ikielekea katika bandari ya Mkoani Pemba kwa ajili ya kuwapelea Watalii hao kutembelea sehemu mbalimbali za Historia Kisiwani Pemba.Meli hiyo imeaza safari yake Nchini Ufarasa na kutembelea maeneo ya Nchini mbalimbali Duniani ikiwa na Watalii 1840.raia wa Nchi mbalimbali Duniani.  

Watalii kutoka Nchi mbalimbali wakishuka katika boti katika bandari ya Mkoani Pemba kwa ajili ya kutembelea maeneo ya historia ya Pemba. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.