Habari za Punde

MKUTANO WA DKT. MPANGO NA WAZIRI WA USHIRIKIANO WA BIASHARA WA FINLAND

Mazungumzo yakiendelea kati ya Ujumbe kutoka Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, (katikati) na Ujumbe kutoka Finland uliyoongozwa na Waziri wa Ushirikiano wa Biashara wa Finland Mhe. Ville Skinnari, jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akifafanua jambo kwa Waziri wa Ushirikiano wa Biashara wa Finland, Mhe. Ville Skinnari (kushoto), wakati wa wakati wa mkutano uliofanyika, jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akizungumza jambo na Waziri wa Ushirikiano wa Biashara wa Finland, Mhe. Ville Skinnari, baada ya kumaliza mazungumzo alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango na Waziri wa Ushirikiano wa Biashara wa Finland Mhe. Ville Skinnari (katikati), wakiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe kutoka Tanzania na Finland baada ya kumaliza mazungumzo Jijini Dodoma.
 (Picha na Peter Haule Wizara ya Fedha na Mipango).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.