Habari za Punde

Maelfu ya Wananchi wa Zanzibar Wajumuika Katika Maziko ya Sheikh Nyundo Zanzibar. na Kuzikwa Kijijini Kwao Muyuni Mkoa wa Kusini Unguja.YA SH. HASSAN HUSSEN (NYUNDO)

Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akiongoza Sala ya kuusalia mwili wa marehemu Sheikh Nyundo katika Masjid Arafa Bin Issa lankasta kidongochekundi Jijini Zanzibar baada ya Sala mwili wa Marehemu umezikwa kijiji kwao Muyuni Mkoa wa Kusini Unguja, maziko yalifanyika jana,16-3-2020.

SHEKHE Shahrani Bin Mussa,  akiwa katika masjid Arafa Bin Issa, akitoa mawaidha wakati wa maziko ya Shekhe Hussen Hassan (NYUNDO).
NDUGU na wananchi mbalimbali wakiwa wamebeba janeza la Shekhe Hussen Hassan (NYUNDO) kwaajili ya kupelekwa msikitini kwa kuswaliwa.
 MAMIA ya Waumini wa Dini ya Kislamu na wananchi wakiwa katika mistari wakisubiri kupokea jeneza la marehemu, Shekhe Hussen Hassan (NYUNDO) kwaajili ya kupelekwa masjid Afraa Bin Issa, Kidongochekundu. 
BAADHI ya akina mama waliojitokeza katika maziko ya Shekhe Saleh Omar Kabi, aakiongoza swala ya marehemu, Shekhe Hussen Hassan (NYUNDO).
(PICHA ZOTE NA ABDALLA OMAR).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.