Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Afungua Jukwaa la Nishati Tanzania Ukumbi wa Hoteli Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo.11/3/2020.UKWAA LA NISHATI TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Moudlin Castico kabla ya ufungaji wa Jukwaa la Nishati Tanzania katika Ukumbi wa Varde Zanzibar leo March 11,2020. katikati Naibu Waziri wa Elimu Na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu uandaaji wa vifaa vya aina mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya mambo ya umeme kutoka kwa Muzna Abdalla wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia Karume mjini Zanzibar alipotembelea maonesho kwenye ufungaji wa Jukwaa la Nishati Tanzania katika Ukumbi wa Varde Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu utafiti wa mbalimbali kutoka kwa Ernest Mjema wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia Karume mjini Zanzibar alipotembelea maonesho kwenye ufungaji wa Jukwaa la Nishati Tanzania katika Ukumbi wa Varde Zanzibar leo March 11,2020. kulia ni Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Simai Mohammed Said.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu uandaaji Mkaa unaotokana na Nafaka za aina mbalimbali unaotengenezwa na Taasisi ya Sayansi na Teknolojia Karume mjini Zanzibar alipotembelea maonesho kwenye ufungaji wa Jukwaa la Nishati Tanzania katika Ukumbi wa Varde Zanzibar leo March 11,2020. kulia ni Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Simai Mohammed Said
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu mambo ya Mafuta ya Petroli kutoka kwa Afisa wa kampuni ya Mafuta Zanzibar Petrolium Development Campany LTD Amani Shein alipotembelea maonesho kwenye ufungaji wa Jukwaa la Nishati Tanzania katika Ukumbi wa Varde Zanzibar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Jukwaa la Nishati Tanzania lililofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Varde Zanzibar Jijini Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akionesha Sahani ya Asili aliyokabidhiwa na Mwakilishi wa Chuo Kikuu cha Netherlands Dr. Robeit Hack wakati wa ufungaji wa Jukwaa la Nishati Tanzania lililofanyika katika Ukumbi wa Varde Zanzibar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Cheti Nyausi Mmakame kwa ushiriki wake katika Jukwaa la Nishati kwenye ufungaji wa Jukwaa la Nishati Tanzania lililofanyika katika Ukumbi wa Varde Zanzibar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Cheti Bibi Linda Maat kutoka Netherlands  kwa ushiriki wake katika Jukwaa la Nishati kwenye ufungaji wa Jukwaa la Nishati Tanzania lililofanyika katika Ukumbi wa Varde Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.