Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Magufuli Amuapisha Bw.Gerlad Musabila Kusaya Kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Ikulu Jijini Dar es Salaam leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimokatika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa March 6, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo baada ya kumuapisha Bw. Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga Waziri wa Viwanda na Biashara  Innocent Bashungwa, Waziri wa Fedha na Mipangu Dkt. Philip Mpango, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Mwenyekiti wa Tume ya Maadili Jaji Mstaafu Harold Nsekela pamoja na baadhi ya makatibu wakuu na Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama baada ya kumuapisha Bw. Bw. Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo na Umwagiliaji katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa March 6, 2020
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.