Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Gavana wa Benki  Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa. Florens Luoga, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar  kwa  mazungumzo  na Rais  akiongozana na Ujumbe wake (kulia)  yaliofanyika katika wa ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Gavana wa Benki  Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa. Florens Luoga, akitowa maelezo ya fedha bandia  akionesha moja ya fedha hizo noti ya shilingi elfu kumi, wakiwa katika mazungumzo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar. 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Gavana  wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa.Florens Luoga, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na ujumbe wake kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mgeni wake Gavana wa Benki  Kuu ya Tanzania.(BOT) Profesa.Florens Luoga, wakitoka katika ukumbi baada ya kumaliza mazungumzo yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mgeni wake Gavana wa Benki  Kuu ya Tanzania.(BOT) Profesa.Florens Luoga, wakibadilisha mawazo baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania.(BOT) Profesa Florens Luoga, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.