Habari za Punde

SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO KAZI NA UONGOZI WA JUU WA UHAMIAJI JIJINI DODOMA

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiongoza Kikao Kazi na Uongozi wa Juu wa Idara ya Uhamiaji, kilichofanyika katika Ukumbi wa Makao Makuu ya wizara jijini Dodoma. 
 Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt.Anna Makakala, akizungumza wakati wa Kikao Kazi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (hayupo pichani).Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Makao Makuu ya wizara jijini Dodoma.Kulia ni Kamishna wa Utawala na Fedha,Peter Chogero.
Kamishna wa Utawala na Fedha, Peter Chogero akizungumza wakati wa Kikao Kazi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (hayupo pichani).Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Makao Makuu ya wizara jijini Dodoma.Kushoto ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dkt. Anna Makakala.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.