Habari za Punde

Ajali ya Moto Imeleta Hasara Kubwa Kwa Mmiliki wa Nyumba Katika Kijiji cha Kianga Wilaya ya Magharibi A Unguja.mOTO iMELETA hASARA KWA m

Wananchi katika Kijiji cha Kianga Wilaya ya Magharibi A Unguja wakiangalia nyumba ikiwaka moto katika eneo hilo kwa mujibu wa mashuhuda wamesema chanzo cha moto huo nishoti ya umeme katika nyumba hiyo. 
Askari wa Kikosi cha Zimamoto Zanzibar wakiwa katika zoezi la kuuzima moto katika moja ya nyumba katika Kijiji cha Kianga Wilaya ya Magharibi A Unguja ikiwaka moto uliosababishwa na shoti ya Umeme katika nyumba hiyo kwa mujibu wa mashuhuda walioshuhudia ajali hiyo ya moto, 

WANANCHI wakiangalia nyamba iliokua ikiungua moto kutokana na shoti ya umeme huko Kianga, mitaa ya maskani Nyoka  Wilaya ya Magharibi A.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.