Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkuu wa mkoa wa Tabora
Aggrey Mwandri mara baada ya kuwasili Nzega Mkoani Tabora.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nzega mkoani
Tabora (hawaonekani pichani) wakati akielekea mkoani Singida.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nzega mkoani
Tabora (hawaonekani pichani) wakati akielekea mkoani Singida.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Singida mjini (Kwenye
Mataa) mara baada ya kuwasili wakati akitokea Nzega Mkoani Tabora
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Singida mjini (Kwenye Mataa) mara baada ya kuwasili wakati akitokea Nzega Mkoani Tabora.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mtoto aliyejulikana
kwa jina moja la Rahma mara baada ya kuwasalimia Wananchi katika eneo la Mataa mkoani
Singida.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment