Mkuu wa
Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro pamoja na wasaidizi wake leo 17/06/2020
jijini Dar es salaam, wakishiriki kwa njia ya mtandao (Video Conference )
mkutano wa Jumuiya ya Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi wa Nchi za
Ukanda wa Kusini Mwa Afrika (SARPCCO)
unaojumuisha nchi 15 ikiwemo Tanzania katika mkutano wake wa kawaida wa
kiutendaji ndani ya Jumuiya hiyo .
WADAU WAANZA KUVUTIWA NA MAKUMBUSHO YA JIOPAKI YA NGORONGORO LENGAI
-
Na Mwandishi wetu, Karatu Arusha.
Siku chache baada ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango, kuzindua M...
3 hours ago

No comments:
Post a Comment