Habari za Punde

Kada wa Saba wa Chama cha Mapinduzi Mohammed Jaffar Jumanne Ajitokeza Kuchukua Fomu ya Kugombea Urais wa ZanzibarI


Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi Mhe.Mohammed Jaffar Jumanne, akikabidhiwa Fomu ya kuwania kuteuliwa na Chama chake kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar, akikabidhiwa na Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo hafla hiyo imefanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar leo 18/6/2020.

Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo akipokea Fedha za Ada ya Fomu ya Urais kutoka kwa Mtangaza nia Mhe. Mohammed Jaffar Jumanne, alipofika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kuchukua fomu hiyo leo.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.